MBUNGE WA JIMBON LA KIKWAJUNI MHANDISI HAMAD MASAUNIN AKABIDHI JEZI ZA MASHINDANO

0

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambae pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimkabidhi nahodha wa timu ya Mkunazini, Ahmed Omari Haji , jezi zitakazotumiwa na timu yake wakati wa Kombe la Masauni -Jazeera, linaloanza kutimua vumbi leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja,Zanzibar. Wapili kulia ni Diwani wa kata ya Miembeni, Mbaruku Abdallah Hanga. 
Nahodha wa timu ya Kikwajuni Bondeni, Salum Said (kushoto), akipokea jezi kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambae pia ni Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia). 
Nahodha wa timu ya Kikwajuni Bondeni, Salum Said (kushoto), akipokea jezi kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambae pia ni Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia). 
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, ambae pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watatu kushoto), akiwa na baadhi ya viongozi na makocha wa timu zinazotarajiwa kuanza kumenyana katika mashindano ya Kombe la Masauni-Jazeera, muda mfupi baada ya kukagua Uwanja wa Mnazi Mmoja utakaotumika kwa mashindano hayo.
Facebook Comments
Share.

About Author