Home Michezo MBWANA SAMATA ANNUNUA GARI JIPYA LA KIFAHARI

MBWANA SAMATA ANNUNUA GARI JIPYA LA KIFAHARI

183
0

Mtanzania Mbwana Samatta anayeichezea KRC Genk ya Ubelgiji leo April 15 2017 amepost tofauti tofauti zikimuonesha akiwa na gari aina ya Mercedes Benz, Samatta ambaye kwa sasa anaishi Ubelgiji kutokana na kufanya kazi na KRC Genk nchini humo amepost picha gari hiyo bila maelezo mengi.

Inawezekana ikawa ni gari lake jipya ameamua kuliweka hadharani kupitia ukurasa wake wa instagram, mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee picha 5 alizozipost Samatta akiwa na Mercedes Benz.

Leave a comment