Home Michezo Mchezaji wa zamani wa Simba afariki Dunia

Mchezaji wa zamani wa Simba afariki Dunia

159
0

TANZIA: Mchezaji wa zamani wa Simba ATHUR MAMBETTA (pichani nyuma kulia) amefariki dunia jana Jumatano katika hospitali ya Temeke baada ya kusumbuliwa na saratani kwa muda mrefu iliyopelekea akatwe miguu yake yote miwili.


Mungu amlaze mahala pema peponi. Pole kwa wana michezo wote Afrika Mshariki, hususan Simba SC kwa MSIBA huu.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE NA LIHIMIDIWE – AMINA