Home Michezo Mechi Imeisha na haya ndo matokeo kati ya Simba vs Gendamarie

Mechi Imeisha na haya ndo matokeo kati ya Simba vs Gendamarie

284
0

 

Simba imeondoka na ushindi wa bao 1 kwa bila na kukata tiketi ya round ya pili,sasa kukutana na Almasry ya Misri.

Bao la Simba limefungwa na Okwi katika dakika ya 53 kipindi cha pili.hivyo katika michezo yote miwili simba imeshinda jumla ya goli 5 kwa bila