Home Michezo Mfaransa wa Simba Hubert Velud kuja na wazungu wanne

Mfaransa wa Simba Hubert Velud kuja na wazungu wanne

178
0
Mfaransa wa Simba Hubert Velud kuja na wazungu wanne

Mfaransa wa Simba Hubert Velud kuja na wazungu wanne

Ikiwa ni kipindi ambacho watu wengi hususani washabiki, wapenzi na wanachama wa Simba wanasubiri tu kutangazwa kwa kocha Wao Mpya Hubert Velud Raia wa Ufaransa tayari kuna tetesi kuwa Mzungu huyo atatua na wazunguy wengine wanne.

Kulinagana na Gazeti la Dimba la leo Jumatano msomaji wa Kwataunit.com limeandika kuwa Huenda kocha huyo akatua na wasaidizi wake wazungu  wanne.

Taarifa zaidi zinasema kuwa kulingana na vikao vya Ndani vya Simba vimekaa na kuamua kocha huyo apewe wigo mpana wa kupanga mipango yake na kuwa na maamuzi juu ya Benchi lake la Ufundi na Huenda sasa wazungu hao wanne wakatua msimbazi kumsaidia kocha Huyo.

Simba inapambana kuhakikisha wanachukua taji la Ligi Kuu walilolikosa kwa muda mrefu huku pia ikipambana kuhakikisha wanafanya vizuri katika michuano ya Kimataifa ambapo Simba itawakilisha Katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Leave a comment