Mpiga Picha wa Diamond aonekana akimpiga picha Hamisa,Maswali mengi yazuka

0

Mpiga Picha Diamond aitwae Lukamba ameonekana akiwa na Hamisa Mobeto huku akimpiga picha licha ya kwamba Diamond na Hamisa maelewano yao sio mazuri pia maelewano ya Hamisa na Zari pia sio mazuri ama hayapo kabisa.
Pia inasemekana yawezekana washamaliza tofauti zao ndo maana Lukamba akaenda kumpiga picha Hamisa

2,855 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author