MUME WA ZAMANI WA ZARI KHALI YAKE YAZIDI KUWA MBAYA..YASEMEKANA AMEPOOZA..ZARI ASHINDA AKIMUUGUZA HOSPITALI - The Choice

MUME WA ZAMANI WA ZARI KHALI YAKE YAZIDI KUWA MBAYA..YASEMEKANA AMEPOOZA..ZARI ASHINDA AKIMUUGUZA HOSPITALI

0

Taarifa zilizonifikia ni kuwa aliyekuwa mume wa Zari Ivan amelazwa Hospital ini siku kadhaa sasa zimepita…

Tuzidi kumuombea Ivan apone haraka….Pichani kushoto ni Zari Hassan akimjulia hali baba watoto wake…
.
.
Get well soon Ivan

Share.

About Author