Mwanafunzi wa UDSM Kumbusho Dawson ambaye alitoa taarifa kuhusu Hosteli kuwa na nyufa amekamatwa na Polisi - The Choice

Mwanafunzi wa UDSM Kumbusho Dawson ambaye alitoa taarifa kuhusu Hosteli kuwa na nyufa amekamatwa na Polisi

0

DAR: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, Kumbusho Dawson ambaye alitoa taarifa kuhusu Hosteli kuwa na nyufa amekamatwa na Polisi

Kijana huyo amepelekwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano

1,081 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author