Home Mahusiano Mwanamke wa Kitanga ndani ya Daladala Balaa Tupu

Mwanamke wa Kitanga ndani ya Daladala Balaa Tupu

331
0

Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee…..

Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa anashangaa na kulalamika kuwa mahaba yao wakafanyie chumbani….

Alipokuwa anashuka akasema “mi ndio mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kununa wapasuke twende tukalale laazizi wangu” hahahahahaha