NAPE AELEZA ALICHOAMBIWA NA TUNDU LISSU KABLA YA KUKAMATWA

0

NAPE

Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye ameeleza alichoambiwa na Mbunge wa Singida Mashariki(CHADEMA), Tundu Lissu jana mchana wakati wakitoka bungeni huku wakicheka.

NAPE: Lissu aliniambia “Wewe ni mjomba wangu, kwanini unabaki CCM? Mimi na wewe tunafuatiliwa na jamaa zako wakitumia gari moja… hama CCM”.

Facebook Comments
Share.

About Author