NEW VIDEO: Harmonize – Niambie - The Choice

NEW VIDEO: Harmonize – Niambie

0

Mwanamuziki Harmonize ambaye anafanya kazi chini ya lebo ya Diamond Platnumz (WCB Wasafi) ameachia video ya wimbo wake mpya wa Niambie ambayo amemtumia mwigizaji na mpenzi wake, Jacqueline Wolper kama video queen

Facebook Comments
Share.

About Author