Home Michezo NYOTA YA HARUNA NIYONZIMA YASHUKA SIMBA, HUKU YA AJIBU IKIPANDA YANGA

NYOTA YA HARUNA NIYONZIMA YASHUKA SIMBA, HUKU YA AJIBU IKIPANDA YANGA

409
0

HAKIKA HIVI NDIVYO UNAWEZA SEMA KUTOKANA NA MICHANGO YAO HAWA WACHEZAJI WAWILI KATIKA TIMU ZAO MPYA.

NYOTA YA AJIBU IMEWEZA KUPANDA ZAIDI NDANI YA CLUB YA YANGA KUTOKANA NA KUONEKANA KUWA NA MCHANGO MKUBWA KATIKA TIMU.AJIBU TOKEA AJIUNGE NA TIOMU HIYO AMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KATIKA KUHAKIKISHA TIMU YAKE YA YANGA INAPATA MATOKEO KWA USHIRIKIANO MKUBWA NA MSHAMBULIAJI TOKA ZAMBIA AITWAYE CHIRWA.

HII IMEWEZA KUMFANYA KUKUBALIKA NA WAPENZI NA WASHABIKI WA YANGA NA KUWA NA IMANI NAYE ZAIDI HUKU IKIONEKANA USHINDI WA YANGA KWA ASILIMIA KUBWA UKIMTEGEMEA YEYE.

KWA UPANDE WA PILI WA HARUNA NIYONZIMA ALIYEKUWA YANGA MSIMU ULIOPITA YEYE MAMBO YAKE BADO HAYAJAMNYOOKEA KUTOKANA NA KUONEKANA KAMA KIWANGO CHAKE WAKATI ALIPOKUWA YANGA NA SASA KUSHUKA,NIYONZIMA AMEONEKANA NI MTU AMBAYE HAWEZI AMUA MATOKEO PINDI TIMU INAPOKUWA IMEBANWA NA TIMU PINZANI,HIYO IMEPELEKEA HADI IMANI KUBWA WALIOKUWA NAYO MASHABIKI PINDI NIYONZIMA ALIPOTUA MSIMBAZI IKIANZA KUPUNGUA KWAKWE NA WENGI IMANI YAO WAKIIPELEKA KWA MKONGWE OKWI PAMOJA NA NDEMLA.

PIA MAJERUHI YA MDA MREFU YA NIYONZIMA YAMEMFANYA PIA KUWEZA KUTETEREKA .

Leave a comment