ONYO KALI KWA MSANII DARASA - The Choice

ONYO KALI KWA MSANII DARASA

0
----mwisho-----

darasa

HAKIKA UKITAJA MSANII ANAYETIKISA KWA SASA BONGO NI MSANII DARASA,NI MSANII WA SIKU NYINGI KIDOGO LAKINI NGOMA YAKE YA MUZIKI NA MAISHA IMEKUWA GUMZO KILA KONA.KWA SASA HATA YEYE DARASA KILA ANAPOFANYA SHOW HUJIHISI KWELI ANAKUBALIKA KILA KONA KUTOKANA NA SHOW ZINAVYO POKELEWA KILA ANAPOKWENDA.The choice inatoa mwongozo jinsi ya kumfanya darasa aendelee kudumu katika gemu kwa kiwango cha juu mda wote.

SASA KUTOKANA NA HILI MSANII AKILI HUBADILIKA NA KUJIHISI YUKO TOFAUTI SANA NA KUANZA KUFANYA MAMBO YASIYO FAA KWA MSTAKABALI WA MAISHA NA NCHI KWA UJUMLA.HUU NI WAKATI WA DARASA KUZUNGUKWA NA WASHAURI WALIO KOMAA KIFIKRA NA WENYE MAWAZO CHANYA NA WENYE USHAURI WENYE MWONGOZO SAHIHI,HUU SIO WAKATI WA KUAMBATANA NA WAPAMBE WALIO MAALUMU KWA AJILI YA MASLAHI NA WASIO KUWA NA USHAURI SAHIHI KWA DARASA.

HAKIKISHA DARASA UNAEPUKANA NA HAYA

  1. KUJIINGIZA KWENYE MADAWA YA KULEVYA
  2. MALINGO YASIYO KUWA NA MBELE WALA NYUMA
  3. EPUKANA NA WAPAMBE WASIO KUWA NA FAIDA KWAKO
  4. MAHUSIANO YA HOVYO HOVYO
  5. MATUMIZI YA PESA YASIYO KUWA NA MAANA
  6. USISAHAU IBADA
  7. USIWASAHAU WAZAZI AU WALEZI WAKO
  8. KUSAINI MIKATABA ISIYO KUWA NA MAANA
Share.

About Author