ORODHA YA VILABU 20 TAJIRI DUNIANI, MANCHESTER UNITED WAKIONGOZA…..

0
Timu ya Manchester United imepata kipato kikubwa kuliko timu yoyote katika msimu uliopita kulingana na taarifa zilizochapishwa na kampuni kubwa ya ukaguzi duniani (Deloitte).
 Tokeo la picha la money

Manchester United imewashinda Real Madrid waliofanya vizuri katika michezo kwa miaka 11baaada ya kukusanya kipato kikubwa takribani Euro 689 katika msimu wa 2015-2016.

Clubu za ligi ya Premier imeshuhudia kukua kwa kipato kwa Euro Millioni mia moja

Ukijumlisha vipato vya timu ishirini bora kwa msimu wa 2015-2016 vimeongezeka kwa asilimia 12% na kufikia euro billioni 7.4 hii haijawahi kutokea.

Hii ni mara ya kwanza kwa Man U kushikilia nafasi hiyo tokea msimu wa 2003-04.

United have knocked Real Madrid off top spot and the Spaniards slip to third place

Real Madrid wameshuka mpaka nafasi ya tatu wakiwaacha wapinzani wao wakubwa Barcelona katika nafasi ya pili.

Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich wapo nafasi ya nne huku matajiri wa jiji la Manchester Man City wakiwa nafasi ya tano kwa kutengeneza Euro milioni524 kwa msimu uliopita.

Hii ni mara ya kwanza kwa city kuingia katika nafasi hiyo.

Msimamo kwa Mapato Orodha ya Delo
 Manchester United have risen to the top of the Deloitte Money League for 2015-16
 
 
 
Position (last year’s position) Club 2015/16 revenue (€m) (2014-15 revenue) 2015/16 revenue (£m) (2014-15 revenue)
1 (3) Manchester United 689 (519.5) 515.3 (395.2)
2 (2) FC Barcelona 620.2 (560.8) 463.8 (426.6)
3 (1) Real Madrid 620.1 (577) 463.8 (439)
4 (5) Bayern Munich 592 (474) 442.7 (360.6)
5 (6) Manchester City 524.9 (463.5) 392.6 (352.6)
6 (4) Paris Saint-Germain 520.9 (480.8) 389.6 (365.8)
7 (7) Arsenal 468.5 (435.5) 350.4 (331.3)
8 (8) Chelsea 447.4 (420) 334.6 (319.5)
9 (9) Liverpool 403.8 (391.8) 302 (298.1)
10 (10) Juventus 341.1 (323.9) 255.1 (246.4)
11 (11) Borussia Dortmund 283.9 (280.6) 212.3 (213.5)
12 (12) Tottenham Hotspur 279.7 (257.5) 209.2 (195.9)
13 (16) Atlético de Madrid 228.6 (176.6) 171 (134.4)
14 (13) Schalke 04 224.5 (219.7) 167.9 (167.1)
15 (15) AS Roma 218.2 (179.1) 163.2 (136.3)
16 (14) AC Milan 214.7 (199.1) 160.6 (151.5)
17 (18) FC Zenit St Petersburg 196.5 (167.8) 147 (127.7)
18 (na) West Ham United 192.3 (160.9) 143.8 (122.4)
19 (20) Internazionale 179.2 (164.8) 134 (125.4)
20 (na) Leicester City 172.1 (137.2) 128.7 (104.4)
Facebook Comments
Share.

About Author