Picha: Muonekano wa ndani wa ofisi ya Jose Mourinho. - The Choice

Picha: Muonekano wa ndani wa ofisi ya Jose Mourinho.

0

 

Manager wa Manchester United Jose Mourinho ameamua kuonyesha picha ya ofisi yake mpya huko Carrington baada ya kupost picha hiyo kwenye account yake ya Instagram

Ni chumba chenye madirisha sawa na ukuta unaoonyesha kiwanja chao cha mazoezi, Mourinho akiwa amekaa kwenye baiskeli ya kuzuka hapo hapo huku akiangalia TV inayoonyesha kapteni wake mpya wa timu hiyo Wayne Rooney. Kwa pembeni unaweza kuona pia vyeti vyake alivyopata katika Guinness World Records ambazo zote alizipata akiwa bado yuko Chelsea.

Manchester United boss Jose Mourinho, pictured in his new office, has signed a three-year deal at the club 

Share this:
Facebook Comments
Share.

About Author