PICHA YA PAMOJA YA STAA DIAMOND PLATNUMZ AKIWA NA SHAFFIH DAUDA HUKO SAUZI KWENYE MJENGO WAKE

0

shaffih – Nikiwa njianiafcon2017gabon nimekutana na @diamondplatnumz kwenye flight moja,connection ya another flight to Libreville-Gabon ilikuwa ni baada ya masaa 7akanikaribisha nyumbani kwake kupata chai ikiwa ni pamoja na kusalimia kidogo familia yake ambayo inaishi hapa Pretoria-SA, asante sana shemeji @zarithebosslady pamoja na bi mkubwa wetu Sandra. Photo credit @kendrah_michael. Now on our way to Gabon!!!
Facebook Comments
Share.

About Author