Home Michezo RONALDO AWEKA REKODI YA KUFUNGA KATIKA FAINALI MBILI LIGI YA MABINGWA ULAYA

RONALDO AWEKA REKODI YA KUFUNGA KATIKA FAINALI MBILI LIGI YA MABINGWA ULAYA

139
0

 

Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao katika mechi mbili za fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mfululizo.
Ronaldo amefunga mabao mawili leo wakati Real Madrid ikishinda 4-1 dhidi ya Juventus na kubeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya pili mfululizo.
Wakati katika fainali iliyopita, Madrid iliishinda Atletico Madrid na kubeba ubingwa, Ronaldo akiwa kati ya wafungaji.