SAMATTA AITABIRIA YANGA

0

Kufuatiwa ushindi wa Yanga, 5-1 katika mchezo wao wa kwanza katika mzunguko wa kwanza wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya N’gara klabu ya Comoro, Mbwana Samatta ameonyesha kufurahishwa na ushindi huo wa Yanga na kutoa pongezi.

Aidha, Samatta ameitabiria mazuri timu ya Yanga, timu pekee toka Tanzania iliyoshiriki michuano Comoro.

Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Twitter, Mbwana Samatta ameitabiria Yanga magori 7 katika marudiano ya mchuano mkali utakaofanyika jijini Dar es salaam baada ya wiki moja dhidi ya N’gara.

 

Facebook Comments
Share.

About Author