Schweinsteiger amerudi…yupo kwenye kikosi cha Europa. - The Choice

Schweinsteiger amerudi…yupo kwenye kikosi cha Europa.

0

Schweinsteiger alikua na hali ya sitofahamu kwenye kikosi cha Manchester united lakini kufanya mazoezi kwa bidii na kuonyesha level ya u-proffesional hatimaye amerudisha heshima yake.

Bastian amecheza mechi dhidi ya Wigan kwenye F.A cup na kushida goli moja kwenye ushindi mzuri wa Manchester united. Sasa hivi Jose Mourinho amepanga kikosi cha michuano ya Europa na jina la Schweinsteiger limejumuishwa.

Manchester watacheza kwenye na St Etienne kwenye mechi ya Europa league, Kwenye mechi hiyo pia inategemewa kuwakutanisha Pogba brothers.

Kikosi kamili cha united kwenye mechi hii ni kama hivi. De Gea, Pereira*, O’Hara*, Romero, Valencia, Darmian, Fosu-Mensah*, Bailly, Jones, Rojo, Smalling, Tuanzebe*, Blind, Shaw*, Young, Carrick, Herrera, Fellaini, Schweinsteiger, Pogba, Mata, Lingard, Mkhitaryan, Martial, Rashford*, Rooney, Ibrahimovic.

Facebook Comments
Share.

About Author