Serikali yamfungia Pretty kind miezi 6,huku Gigy money akitakiwa kuripoti wizarani

0

Serikali imetangaza kumfungia miezi 6 Msanii wa filamu na muziki, Suzan Michael maarufu Pretty Kind kwa kuweka picha za utupu katika mitandao ya kijamii

Msanii Gigy Money atakiwa kufika Ofisini kwa Naibu Waziri wa Habari baada ya kukaidi ujumbe aliotumiwa

Pia Mwanadada Jane Rimoy maarufu kwa jina la Sanchi ametakiwa kufika ofisini kwa Naibu Waziri huyo mara moja kutokana na kuchapisha mitandaoni picha zisizo na maadili.

1,637 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author