UGOMVI KATI YA SHAFII DAUDA NA MANARA WAZIDI KUWA MKUBWA,WARUSHIANA MANENO MITANDAONI

0

UGOMVI KATI YA MSEMAJI WA SIMBA HAJI MANARA NA MCHAMBUZI WA CLOUDS FM SHAFII DAUDA UMEFIKIA HATUA NYINGINE MARA BAADA YA KUANZA KURUSHIANA VIJEMBE MITANDAONI HUKU KILA MMOJA AKIMSHUTUMU MWINGINE

 

  • shaffih

  • Kaka usinitumie mimi kichaka cha wewe kujifichia,last time Simba imefungwa na #GreenWorriors uljifichia kwa #Omog akatimuliwa sasaivi hauna mahala pa kujifichia…Ilibidi wakati huu unaozungumza uwe umeachia nafasi yako kwasababu umekuwa ukiwadanganya kwa kuwapa matumaini hewa wana Simba #ManaraOut

  • hajismanara

    Tunajua ww una ugomvi wako binafsi na baadhi ya viongozi wa Simba.lakini usitafute ugomvi na wanasimba wote,Sie kufungwa sio wa kwanza na hatutakuwa wa mwisho.unatumia muda mrefu kuittack Simba na post zako za kijinga.kumbuka ww upo kwenye chombo cha habari na klabu yetu inaiheshimu sana @cloudstv na mabosi wake @rugemutahaba.rg na @josephkusaga, na tunajua unajikomba kwa Yanga baada ya kutaka kukupiga kwenye issue ya Akilimali..jipime bro vnginevyo utavunja heshma yako na ya clouds media pia..ila ukiona vp endelea ila jua Simba ni klabu kubwa sana

 

3,337 total views, 3 views today

Facebook Comments
Share.

About Author