SHIRIKA LA ANGA LA ETIHAD LAANDAA MAFUNZO YA KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI (THINK SIENCE 2017) - The Choice

SHIRIKA LA ANGA LA ETIHAD LAANDAA MAFUNZO YA KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI (THINK SIENCE 2017)

0

ThinkScience2017

Shirika la Anga la Etihad (EAG) limeandaakozimaalumukwawahandishinawarubaniinayofahamikakama ‘Think SciencE 2017’ ilikuhamasishataalumayaangaikiwanisehemuyajuhudizataifa la Abu Dhabkuwahamasishavijanakwenyemasomoyasayansinateknolojia.

 

Tukio la uzinduzililifanyikakatikaukumbiwa Dubai World Trade Centre nalimeandaliwanaTaasisiya  Emirates Foundation ikiwanimiongonimwamaonyeshomakubwakatikaukandahuo.

Mgenirasmikatikamaonyeshohayo, ambayepianiMkurugenzimtendajiwa Emirates Foundation, alizunduamaonyeshohayokishakutembeleaofisizaShirika la Anga la Etihad.

 

Wageniwatakaotembeleaofisizashirikahilowatafahamu mambo mbalimbaliyauendeshajiyanavyofanyikanawatajifunzajisniyandegezinavyorushwa. Marubaninawatumishiwandegewatajibumaswalimbalimbalikutokakwawatuwanaopendakufahamukuhusumasualayaanga.

 

WawakilishiwaKitengo cha Etihad Airways Engineering watakuwepo, wataonyeshainjiniyakisasayandegeya jet, vilevilewatatoaufafanuzimasualayanayohusiananandegeya 120-plus.

 

Pia, kutakuwanapichaza video zinazoonyeshashughulimbalimbalizaShirika la Anga la Etihad jinsilinavyojihusishanamaendeleokatikaugunduziwamafutayayandegeambayondiyowa kwanza katikakuyatumiakupitiamradi wake wa Sustainable Bioenergy Reseach Consortium.

 

Kapteni Salah Al FrajallawaShirika la Ndege la Etihad, ambayepianiMakamuwaRaiswaMasualayaUsalamanaShirika la Taifa la KuendelezaMarubanialisema, “HiinichachuyamaendeleokwaNchiyaFalmezaKiarbukutokananakuwahamasishavijanakujiingizakwenyetaalumayaurubaniambapowatakuwanaujuzihuu. Tunatumainikwambakuwanzishwa Think Science 2017 itawavutianakuwatiamoyovijanawengikuanzakujadilimasualayanayohusiananasayansinateknolojia. PiakuhimizavijanawenginewaNchizaFalmezaKiarabukupendataalumahiihatakutamanikujiunganaShirika la Anga la Etihad.

 

Pia, katikakuwafanyawageniwavutiwenakuelewazaidikuhusumasualambalimbaliyaShirika la Anga la Etihad, wageniwatapatafursayakushindanailikujishindia safari mojamaalumuambapowatawezakutembeleanakufahamushughulizaShirika la Anga la Etihad linaloongozakwenyesektayaanganchini Abu Dhab.

Zawadizitatolewakwakwavijanawatakaooonyeshaubunifukwenyemasulayauhandishiwakatiwamashindanohayo.

 

Maonyeshoya Think Science  yalizinduliwamwaka 2012 yakiwalengakundi la miaka 15-35 nakuwapelekamaelfuyawagenikilamwaka . Lengo la serikalinikuhamasishaushirikianaobainayawanasayansinawadauwasektayasaynsinateknolojia.

 

KUHUSU SHIRIKA LA ETIHAD

Shirika la UsafiriwaAnga la Etihad  linafanyashughulizakeulimwengunikotelikifanyabiasharakupitiamashirikayakemanneambayoni; Shirika la Ndege la Etihad, The National Airline of The United Arab Emirates, Etihad Engineering, Hala Group na Airline Equity Partners.

Shirikalimewekezakwenyemashirikasaba; :Airberlin, Air Serbia, Air Seychelles, Alitalia, Jet Airways, Virgin Australia na Swiss-based Darwin Airline, inayofanyachiniya  Etihad.

Makaomakuuyakeyakiwa Abu Dhabi, Shirika la Etihad limetangazamalengoyakuhudumiaabiria 117 namizigoMasharikiya KATI, Afrika, Ulaya, Asia, Australia naAmerika. Shirikalinandegeza Airbus na Boing 122, ikiwanazingine 204 ambazobadozinatumikakwasasa;  ikiwamo  71 Boeing 787s, 25Boeing 777Xs, 62 Airbus A350s and 10 Airbus A380s. Tembelea: www.etihad.com

 

 

Kwamaelezozaidiwasilianana;

Jonathan Hill

OfisaUhusianowa Etihad

Simu: +9712 511 1539

Mob:   +97156 508 3076

Baruapepe: [email protected]

Facebook Comments
Share.

About Author