Home Michezo Simba inabidi wamchunge sana huyu Mshambuliaji wa Almasry

Simba inabidi wamchunge sana huyu Mshambuliaji wa Almasry

139
0

Hakika simba inabidi wamchunge sana huyu mchezaji aitwaye Bance Raia wa Bulkina Faso.

Huyu ana nguvu za kupiga mashuti ana ruka vichwa sana na pia ana kontrol nzuri ya mpira.inabidi mabeki wa simba wawe makini naye sana haitakiwi kumdharau hata kidogo.