T Touchez afunguka sababu za kufanya vyema - The Choice

T Touchez afunguka sababu za kufanya vyema

0

Rapa Jay Moe wa kwanza kushoto, Mr. T Touchez katikakati na Mbunge wa jimbo la Mikumi Mhe. Prof. Jay.

Mtayarishaji wa muziki ambaye kwa sasa ana ngoma nyingi zinazofanya vyema katika vituo mbalimbali vya TV na Radio Mr. T Touchez A.K.A Chui”PARAZO amefunguka na kuweka wazi kwanini kila ngoma inayotoka kwake ni ‘Hits’ song.

Akiongea jana kwenye kipindi cha Friday Night Live Mr. T Touchez alisema kuwa ni juhudi zake binafsi lakini pia ni kutokana na kufanya kazi na wasanii wakubwa kama kina Prof. Jay, Jay Moe na wengine ambao wanasikio zuri la muziki ndiye kitu pekee kinafanya kila akileta kazi inakuwa ni kazi kubwa.

Share.

About Author