Home News TAFITI NI SULUHISHO LA CHANGAMOTO KATIKA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

TAFITI NI SULUHISHO LA CHANGAMOTO KATIKA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

1194
0

 

KaimuMkurugenziMkuuwaTumeyaTaifayaUmwagiliajimhandisiDkt. EliakimuChitutu, akiwaonyeshabaadhiyawaandishiwahabariwaliomtembeleaofisinikwaketakwimuzinazoonyeshaeneo la kilimo cha umwagiliajinchini.

 

KaimuMkurugenziMkuuwaTumeyaTaifayaUmwagiliajiMhandishiDkt. EliakimuChitutu, akiwaonyeshawaandishiwahabarinakalazamapitiozampangokabambewakilimo cha uwagiliaji.

 

KaimuMkuregenziMkuuwaTumeyaTaifayaUmwagiliajimhandisiDkt. EliakimuChitutuakiongeanawaandishiwahabarikuhusu mambo mbalimbalikatikasektayakilimo, hususankilimo cha umwagiliaji.

 

NaMwandishiMaalum.

Dar es Salaam

Imeelezwakuwatafitimbalimbalizinazofanywanawataalamkatikaeneo la kilimo cha umwagiliajizinasaidiakatikakupatikanakwasuhulunakutatuachangamotozauwekezajikatikasektahiyo.

Hayoyamesemwamwishonimwa wikinaKaimuMkurugenziwaTumeyaTaifayaUmwagiliajiMhandisiDkt. EliakimuChitutualipokuwaakiongeanawaandishiwahabariOfisinikwakejijini Dar es Salaam.

MhandisiChitutualisemakuwatafitihizozinawezakusaidiakuishauriSerikalikatikakusimamiamiundombinuyakilimo cha umwagiliajinamatumizi bora yamajikwawakulima.

Aliongezakwakusemakuwa, tafitihizizinawezakusaidiakuongezaufanisikatikamatumiziyamaji. “ Skimunyingizinatumianjiazaasilikamamiferejinasisitunahamasishawakulimakutumiateknolojiazakisasakatikakilimo cha umwagiliajikama vile kilimo cha matoneyaaniDrip irrigation.”AlisisitizaChitutu.

ChitutuamesemakwasasaTumeyaUmwagililiajiinafanyatafitimbalimbalikatikamikoaya Dodoma,IringanaMorogrokwakushurikiananawadauwamaendeleokamavile Shirika la tafitikutoka Japan ambalolinalengakatikakuangaliatijayamajikatikaskimuyaumwagiliajiyaLower Moshi.” Alisema.

AkiongeleaMipangoyaTumeyaTaifayaUmwagiliaji, MhandisiChitutualisemakuwaTumeimekuwaikiendeleanaujenziwaskimuzaUmwagiliajikadriambavyopesazimekuwazikipatikananaimewezakufanyaupembuziyakinifu, ukarabati, maboreshonaupanuziwaskimunyingizaumwagiliajinchini.

“MaendeleoyaUmwagiliajiyamewezakufanyikakwapesazandaninapesazanjetokakwawadauwamendeleo, tunahitajitakribanikiasi cha Sh. Bilioni 592 kwamwakakwaajiliyashughulizaujenziwaskimunamundombinuambayohaijakamilikailikufikialengokuu la kuongezaeneo la umwagiliajikufikiahektamilionimoja (1,000,000) ifikapomwaka 2035,.” Alibainisha.

Awali,MhandisiChitutualielezakuwa Tanzania inaeneolenyeukubwawaHektaMilioni 29.4 zinazofaakwakilimo cha umwagiliajiambapokatiyahizo, hektamilioni 2.3 zinauwezowajuuwakumwagiliwanahektamilioni 4.8 zinauwezowakatiambapohektamilioni 22.3 ndizozimendelezwampaka June 2018. “Kama mnavyofahamukilimo cha UmwagiliajiniKilimo cha uhakikanauzalishajikatikaeneolinalomwagiliwakwasasaunachangiaasilimia 24(24%) za chakulanchini, tunategemeamchangohuuutaongezekakadritunavyopanuaeneo la umwagiliaji.” AliongezaChitutu.