Home Tags Babu tale

Tag: babu tale

Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale akamatwa na Polisi leo asubuhi

Meneja wa mwanamuziki wa kimataifa Diamond Platnumz, Hamis Tale Tale maarufu kwa jina la ‘Babu Tale’ hivi sasa yupo mikononi mwa polisi Mahakama Kuu...

Chidi Benz adai Babutale ameshatumia zaidi ya milioni 40 kwaajili yake

Kwa Chidi Benz, Babutale ni mtu mwenye umuhimu wa aina yake na atamheshimu daima kwasababu meneja huyo wa Diamond ametumia fedha nyingi hadi sasa...

Babu Tale Afunguka Baada ya Taarifa Kuzagaa Kuwa Kuna Amri ya...

Kwa mujibu wa habari iliyoandiwa na gazeti la Mwanahalisi Jumanne hii, Tale anatakiwa alipe kiasi hicho kikubwa cha fedha kwa kudaiwa kuvunja mkataba kati...

Mahakama Yamsaka Meneja wa Diamond ‘Babu Tale’

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hati ya kukamatwa kwa Hamis Tale ‘Babu Tale,’ ambaye ni meneja wa mwanamuziki wa bongo fleva,...

Huu ni uthibitisho kutoka kwa Babu Tale kuwa Chidy Benz kajiunga...

Inawezekana sana kuwa Chidi Benz amejiunga rasmi na lebo ya WCB, hii inatokana na Meneja wa Babu Tale kuandika Maneno yanayothibitisha kuwa Chidy Benzi...

Watu hawajui kuna picha tunazo za Diamond na Ali Kiba wakiwa...

Mmoja kati ya viongozi wa juu wa label ya ‘WCB’, Babu Tale amesema watu hawajui kama Ali Kiba na Diamond wakikutana wanazungumza kama kawaida. Amesema...