Home Michezo TETESI ZA USAJILI ULAYA LEO 28.6.2017

TETESI ZA USAJILI ULAYA LEO 28.6.2017

191
0

Image result for ivan perisic
TETESI ZA USAJILI MANCHESTER UNITED 28.6.2017
Kulingana na France Football wameandika kuwa Manchester United wanamuwinda Serge Aurier kwa ajili ya Kumpa Changamoto Antonio Valencia. Inadaiwa na France Football Kuwa beki Huyo hataki Kuendelea kuwa kwenye Timu Hiyo ya PSG na Manchester United wametumia hilo kama Kigezo cha kutaka Kumsaini.

Vilabu vya Juventus na Ac Milan navyo vinatajwa Kumwania Beki Huyo wa Kulia.

Ivan Perisic ndugu msomaji wat The choicetz anampango wa kugomea ofa ya ongezeko la Mshahara la Inter Milan ili kuijunga na Manchester United walioonyesha nia ya kumwitaji (Daily Mirror)

Alvaro Morata ameamua kukatisha Fungate ambapo alikuwa zake Ibiza akila bata na mtoto mzuri wa Kike ili kuhakikisha Ishu yake ya Kujiunga na Manchester United inakamilika kwa wakati (Daily Mirror)..

TETESI ZA USAJILI MANCHESTER CITY
Pep Guardiola yuko mbioni kumsaini mlinzi wa Southampton Ryan Bertand (Mirror)

TETESI NYINGINE ZA USAJILI ULAYA 28.6.2017
John Terry Ndugu msomaji waThe choicet yuko Tayari Kusaini katika klabu ya Aston Villa kipindi ambacho mkataba wake Utakuwa umeisha Rasmi katika Kabu yake ya Chelsea. (Daily Mirror)

Arsenal wamewapa ahadi ofa Alexis Sanchez na Mesut Ozil Ongezeko la Mshahara la asilimia 20 kama timu hiyo itamaliza katika nafasi nne za juu kwenye msimao wa Ligi Kuu England. (Mail)

Laurent Koscielny anatajwa kuwa windo jipya la AC Milan (Mirror)
Tottenham inaungana na Timu nyingine zinazotajwa kumwania beki wa kulia wa Southampton Cedric Soares. .U