Home Michezo Timu ya Taifa ya Senegali wakamatwa wakiwa na mguu wa kuku Kwenye...

Timu ya Taifa ya Senegali wakamatwa wakiwa na mguu wa kuku Kwenye vyumba vya kubadilishia nguo

2
0

FB_IMG_1489351853508Ni aibu iliyoje kwa timu ya Taifa ya Senegal baada ya kukutwa na mguu wa kuku katika chumba cha kubadilishia ngua uwanjani.Hiki ni kitendo cha ushirikina kisichokubalika michezoni.Hata hivyowamefungwa mabao 2-1 na Zambia katika mchezo wa Final  chini ya miaka 20.

SAD: THESE CHARMS WERE FOUND IN THE SENEGAL U20 DRESSING ROOM. CONGRATS ZAMBIA FOR THE WIN