Tisheti Ya Lissu yatikisa Magazeti ya Leo; Gazeti la Uhuru lafanikiwa Kufuta Maandishi ya Tisheti - The Choice

Tisheti Ya Lissu yatikisa Magazeti ya Leo; Gazeti la Uhuru lafanikiwa Kufuta Maandishi ya Tisheti

0

Maandishi yaliandikwa UKUTA, Ila ukiangalia kwenye gazeti LA UHURU inaonekana picha ya Tundu Lissu na Tisheti aliyovaa ni ileile ila cha kushangaza maandishi yaliyopo kwenye tisheti hiyo hayaonekani. Nashindwa kuelewa wameyafutaje na kwa nini

Share.

About Author