USAJILI 18 June 2017: Msahau Mchezaji Huyu Simba msimu Huu - The Choice

USAJILI 18 June 2017: Msahau Mchezaji Huyu Simba msimu Huu

0

Image result for simba sc LOGO

Ikiwa Ni Kipindi cha Usajili kwasasa Tanzania Baba mzazi wa Golikipa wa Simba Manyika Peter amefunguka Kuwa mtoto wake hataongeza Mkataba wake Simba, Mkataba wa Manyika Unaisha 30.6.2017.

Manyika amesema sababu kubwa za Kutoongeza mkataba ni Kwamba anataka Mwanaye apate nafasi ya Kucheza, na hata timu itakayomsajili moja ya masharti ya mkataba wake itakuwa ni kumpa nafasi ya kucheza asilimia 99
Share.

About Author