Home News UTEUZI WA WAKURUGENZI WA WA BODI YA TAWA

UTEUZI WA WAKURUGENZI WA WA BODI YA TAWA

1600
0
Kufuatia uamuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, wa kumteua Meja Jenerali (Mstaafu) Hamisi R. Semfuko kuwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania – TAWA, Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Dkt. Hamisi A. Kigwangalla (Mb.), amefanya uteuzi wa wajumbe wa Bodi ya TAWA kama ifuatavyo:
  1. Dkt. James V. Wakibara
  2. Dkt. Fredy S. Manongi
  3. Bw. Robert C. Mande
  4. Bi Sauda K. Msemo
  5. Luteni Kanali Christian A. Ng’habi
  6. Dkt. Andrew M. Komba
  7. CP Suzan S. Kaganda
  8. Dkt. Fabian M. Madele
  9. Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA (Dkt. Allan J.H. Kijazi)
  10. Mkurugenzi wa Wanyamapori (Kwa mujibu wa Sheria)
Uteuzi huu ni wa miaka mitatu kuanzia tarehe 26 Oktoba, 2018.