VideoMPYA: Wizkid anatualika kuitazama video yake mpya ‘Daddy Yo’

0

Mwimbaji staa wa Nigeria ambae alikua mgeni mualikwa wa FIESTA 2016 Mwanza na kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music Festival 2016 amedondosha nyingine kutoka kwenye maktaba yake, unakaribishwa kuitazama

 

Facebook Comments
Share.

About Author