Wachezaji 11 watakaokosekana Yanga leo ikiivaa Njombe Mji
Unaweza Ukasema Kikosi cha Yanga Kitakosa Kikosi kIzima katika Mchezo wa leo dhidi ya Njombe Mji, Yanga Kupitia Ukurasa wake wa Twitter wametaja majina ya wachezaji 11 Watakaokosekana kwenye Mchezo wa leo dhidi ya Njombe Mji.
Wachezaji hao ni
- Youthe Rostand
- Juma Abdul
- Haji Mwinyi
- Abdallah Shaibu Ninja
- Andrew Vicent
- Pato Ngonyani
- Yohanna Mkomola
- Thaban Kamusoko
- Amisi Tambwe
- Donald Ngoma
- Ibrahim Ajibu.
Yanga leo itashuka Dimbani kucheza dhidi ya Njombe Mji katika mchezo wa Raundi ya 17 Ligi Kuu vpl 2017/2018