Wanyama asaini rasmi Tottenham mkataba wa miaka mitano - The Choice

Wanyama asaini rasmi Tottenham mkataba wa miaka mitano

0
----mwisho-----

Nahodha wa Harambee stars Victor Wanyama hatimaye imekamilisha uvumi ilio kuwepo takribani wiki mbili sasa rasmi uhamisho wake wa kwenda Tottenham akitokea Southampton umekamilika kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 11.

wanyama

Taarifa hizi hapo awali Sasa ni dhahiri Wanyama ni mchezaji wa Tottenhamn baada ya kusaini rasmi mkataba mrefu wa miaka mitano kuichezea klabu hiyo.

3599CF9B00000578-3657094-image-a-27_1466713757834

mawa

Share.

About Author