Home Michezo Watu wawili wamefungwa kwa kumchezea rafu Rais wa Burundi Piere Nkurunzinza katika...

Watu wawili wamefungwa kwa kumchezea rafu Rais wa Burundi Piere Nkurunzinza katika mchezo wa Mpira

126
0

BURUNDI: Watu wawili wamefungwa baada ya kumchezea rafu Rais Pierre Nkurunziza katika mchezo wa mpira wa miguu uliochezwa mnamo Februari 3, 2018


Wawili hao walikamatwa kwa makosa ya “kupanga njama dhidi ya Rais” baada ya kumuangusha mara kadhaa wakati wakigombea mpira

Imezoeleka nchini humo Rais Nkurunziza kupewa upendeleo na Wachezaji wa timu pinzani ikiwemo kumuacha afunge magoli lakini hali ilikuwa tofauti katika mchezo huo uliohusisha baadhi ya Wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo