Home Burudani Waziri amfungia msanii huyu wa Bongo Movie miezi 6 baada ya kuweka...

Waziri amfungia msanii huyu wa Bongo Movie miezi 6 baada ya kuweka picha za utupu mtandaoni

68
0

Naibu Waziri wa Habari, Juliana Shonza amemfungia msanii wa filamu na muziki, Suzan Michael maarufu Pretty Kind kujihusisha na shughuli zote za sanaa kwa muda wa miezi sita, kutokana na kuweka picha za utupu katika mtandao ya kijamii.