Home News WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI WILLIAM LUKUZI AKIWA KATIKA...

WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI WILLIAM LUKUZI AKIWA KATIKA MAZUNGUMZO NA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO BAADA YA KUWASILI MKOANI HUMO KWA AJILI YA KUSIKILIZA NA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

1044
0

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhae William Lukuvi akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kushughulikia migogoro ya ardhi katika wilaya za Hai, Moshi na Same mkoa wa Kilimanjaro tarehe 25 hadi 27 Oktoba 2018.