YANGA HAMJAFANYA UUNGWANA KATIKA KIFO CHA MCHEZAJI WENU

0

YANGA

WIKI HII KUMETOKEA MSIBA MZITO KATIKA TASNIA YA SOKA HAPA NCHINI BAADA YA KUFARIKI MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA TAIFA STARS MAREHEMU GODFREY BONNY (NDANJE).NI MSIBA ULIO WAGUSA WAPENZI WENGI WA SOKA HAPA NCHINI.

bonny

MAREHEMU GODFREY BONNY

MATEGEMEO YA WAPENDA SOKA WENGI WALITEGEMEA KATIKA MCHEZO WA KIMATAIFA BAINA YA YANGA NA NGAYA YA COMMORO YANGA WANGEWEZA KUVAA KITAMBAA CHEUSI MKONONI AMA WANGESIMAMA ANGALAU KWA DAKIKA MOJA KUMKUMBUKA MWENZAO KAMA TARATIBU ZILIVYO SIKU ZOTE,ILA CHA AJABU HAKUNA DALILI YEYOTE ILE ILIYO ONYESHWA NA YANGA KATIKA MCHEZO WA YANGA JUU YA KUMKUMBUKA MCHEZAJI WAO HUYO WA ZAMANI.

Loading...

HAKIKA HAILETI PICHA NZURI UKIZINGATIA YANGA NI MOJA YA KLABU KONGWE NA MAARUFU HAPA NCHINI.

Facebook Comments
Share.

About Author