Home Michezo YANGA KUMLETA MSHAMBULIAJI HUYU HATARI TOKA BULKINA FASO

YANGA KUMLETA MSHAMBULIAJI HUYU HATARI TOKA BULKINA FASO

1737
0

Yanga kweli ni wazee wa kimya kimya msimu huu yes ndiyo kauli unayoweza kuitumia kwani licha ya kuwa wapo na Kikosi chao na hakionekani kuwa kibaya sana kama watu walivyofikiria awali unaambiwa mipango ya Kimya kimya inaendelea.

Sasa kazi imehamia kwa mchezaji Ahmed Toure raia wa Burkinafaso anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Asec Mimosas huko Ivory Coast.

Mchezaji huyo  anayecheza nafasi ya ushambuliaji na anayetumia zaidi mguu wa kulia amewahi pia kucheza baadhi ya vilabu vikubwa ikiwemo Asante Kotoko ya nchini Ghana

Yanga unaambiwa kimya kimya washatuma mtu kwaajili ya kufanya naye mazungumzo ili kuhakikisha Straika huyo anatua na kuvaa jezi ya wanajangwani dirisha dogo

Leave a comment