Yanga Waibabua 5 -1 Ngaya ya Comoro

0
KLABU ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 5-1 dhidi ya Klabu ya Ngaya ya Visiwani Comoro.
Magoli ya Yanga yamepachikwa na Zulu dakika 43, Simon Msuva dakika ya 45, Chirwa dakika ya 59, Amis Tambwe dakika ya 65 na Thaaban Kamusoko dakika ya 7. Huku upande wa Ngaya, bao lao la kufutia machozi limepachikwa na Said Khalfan dakika ya 66
Facebook Comments
Share.

About Author