ZLATAN IBRAHIMOVIC AMEHAMA HOTEL YA MAN U KISA HAINA BWAWA LA KUOGELEA - The Choice

ZLATAN IBRAHIMOVIC AMEHAMA HOTEL YA MAN U KISA HAINA BWAWA LA KUOGELEA

0

 

Zlatan Ibrahimovic ameondoka kwenye hotel inayotumiwa zaidi na Manchester United kwa sababu haina bwawa la kuogolea.

Nyota huyo wa Sweden amehama na familia yake kutoka kwenye hotel hiyo ya nyota tano – Lowry Hotel ambayo hutumiwa  na United inapojiandaa na mechi ya nyumbani na badala yake amehamia Radisson Blu inayotumiwa zaidi na Manchester City.
 
Sababu ya msingi ya hatua hiyo ya Ibrahimovic ni kukosekana kwa  swimming pool Lowry Hotel.
Zlatan Ibrahimovic leaves the Radisson Hotel in Manchester city centre after deciding to switch from the Lowry Hotel normally used by Manchester United as it didn't have a swimming pool
Zlatan Ibrahimovic
The Sweden striker's luggage is moved to the Radisson after his decision to switch hotels
Zlatan Ibrahimovic  ikihamishwa
The swimming pool and spa facilities at the Radisson Blu hotel in Manchester city centre
Bwawa la kuogelea linalipatikana Radisson Blu hotel katikati ya jiji la Manchester
Ibrahimovic has checked out of The Lowry hotel which is often used by Manchester United
Ibrahimovic ameondoka Lowry hotel
Instead the Swedish star has checked into Radisson Blu which is a favourite of Manchester City
Radisson Blu makazi mapya ya Ibrahimovic
Share.

About Author