Aibu kubwa TFF, Makamu wa Rais akumbwa na kashfa ya kughushi na kupokea pesa kijanja - The Choice

Aibu kubwa TFF, Makamu wa Rais akumbwa na kashfa ya kughushi na kupokea pesa kijanja

0
----mwisho-----

Kamati ya maadili ya TFF inakutana leo Machi 14, 2018 pamoja na mambo mengine itajadili suala la Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura aliyefikishwa kwenye kamati kwa makosa matatu ya kupokea fedha za TFF malipo yasiyo halali, kugushi barua na kushusha hadhi ya TFF

Share.

About Author