Alex Sanchezi akaribia kutua Man United,Man City waachwa kwenye mataa - The Choice

Alex Sanchezi akaribia kutua Man United,Man City waachwa kwenye mataa

0

Transfer-

Manchester United wameripotiwa kutaka kuipiku Manchester City kwenye usajili wa Alexis Sanchez. Wametuma ofa rasmi kwa Gunners na inaaminika wana utayari wa kumhusisha Henrikh Mhikitaryan kwenye dili hilo.
City wao wamegoma kulipa zaidi ya £20m kumsaini Sanchez. :
Ingekuwa wewe Sanchez ungechagua kwenda wapi?

2,076 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author