Home Authors Posts by thechoice

thechoice

7857 POSTS 0 COMMENTS

REAL MADRID YAICHAPA AS ROMA 3-0 SANTIAGO BERNABEU

Gareth Bale akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Real Madrid dakika ya 58 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya AS Roma usiku wa...

POGBA AFUNGA MAWILI MAN UNITED YASHINDA 3-0 ULAYA

Kiungo Mfaransa, Paul Pogba akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester United dakika za 35 na 44 kwa penalti katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji...

Kikosi cha Yanga dhidi ya Coastal Union leo 19.9.2018

Kikosi cha Yanga dhidi ya Coastal Union leo 19.9.2018 Golikipa Klaus Kindoki anaanza katika kikosi cha Yanga kitakachoivaa Coastal Union saa moja jioni saa za...

Habari mpya kutoka Yanga kuelekea mchezo dhidi ya Coastal Union

Habari mpya kutoka Yanga kuelekea mchezo dhidi ya Coastal Union Klabu ya Yanga jumatano ya 19.9.2018 itashuka dimbani kucheza na Coastal Union ya Tanga katika...

MFANYIKAZI HOTELINI AJIPATIA MPUNGA KIRAHISI KWA KUFANYA HIVI

Manford Mtwango mkazi wa Kitunda Dar es Salaam, alivutiwa na Mojaspesho tu baada ya kusikia matangazo akaamua na yeye ajiingize kwenye hii fursa. Baada...

Haya hapa magazeti ya Michezo Tanzania leo Ijumaa 14.9.2018

Haya hapa magazeti ya Michezo Tanzania leo Ijumaa 14.9.2018

Watakaotemwa Yanga dirisha dogo hawa hapa

Watakaotemwa Yanga dirisha dogo hawa hapa Kocha Mwinyi Zahera unaambiwa anataka kuisuka Yanga ambayo itakuwa tishio Tanzania msimu huu na baadaye kuwa Tishio barani Afrika...

YANGA KUMLETA MSHAMBULIAJI HUYU HATARI TOKA BULKINA FASO

Yanga kweli ni wazee wa kimya kimya msimu huu yes ndiyo kauli unayoweza kuitumia kwani licha ya kuwa wapo na Kikosi chao na hakionekani...

Kwa maamuzi haya ya Mbelgiji siku za Masoud Djuma zinahesabika

Kwa maamuzi haya ya Mbelgiji siku za Masoud Djuma zinahesabika Simba leo inakwea pipa kuelekea Mkoani Mtwara kwaajili ya mchezo kati yao dhidi ya Ndanda...