BAADA ya Kipogo Manara Awachana Yanga..!!! - The Choice

BAADA ya Kipogo Manara Awachana Yanga..!!!

0
Baada ya Yanga kukubali kipigo cha 1- 0 dhidi ya Mbao FC na kutolewa kwenye nusu fainali iliyopigwa kwenye uwanja wa CCM kirumba, Haji Manara amefunguka na kuwataka Yanga kwa sasa waendelee kusubiri kubebwa tu kwani wameshindwa kushindana uwanjani.
Haji Mnara aliyasema hayo jana kupitia ukurasa wake wa Instgram na kusema washukuru wametoka katika hatua ya nusu fainali kwani wameingia fainali na kukutana na Simba wangepigwa bao 5-0 na Wekundu wa Msimbazi
“Kimenasia kimoko, dadadeki, na hiyo ndio salama yenu mngeingia fainali tungewapa tano, haya subirini mbeleko zenu nyingine” alisema Haji Manara
Share.

About Author