Baada ya kumfunga Azam kila mchezaji Simba alamba Posho ya TSH.Milioni Moja na Nusu - The Choice

Baada ya kumfunga Azam kila mchezaji Simba alamba Posho ya TSH.Milioni Moja na Nusu

0

Club ya Simba katika kudhihirisha inautaka ubingwa msimu huu imekuwa ikiwapatia posho wachezaji wake katika kila mchezo wanao shinda ili kuweza kuwapatia motisha.Simba huwapatia posho ya laki 4 kila mchezo wanaoshinda.Ila kwa mchezo wanleo dhidi ya Azam posho imekuwa kubwa na kuweza kufikia milioni moja na nusu kwankila mchezaji .Hii yote nikatika kuwapatia motisha.

Share.

About Author