Baada ya Kuwa Muathirika wa Dawa za Kulevya kwa Muda Mrefu,Chidi Benzi Amefunguka Haya Makubwa..Amemtaja Joh Makini...!!!! - The Choice

Baada ya Kuwa Muathirika wa Dawa za Kulevya kwa Muda Mrefu,Chidi Benzi Amefunguka Haya Makubwa..Amemtaja Joh Makini…!!!!

0
Rapa Chid Benz amedai kolabo yake na Joh Makini ilishindikana baada ya kushindwa kuwasiliana na msanii huyo baada ya kumaliza Kilimanjaro ‘Tour’ na baadae mambo mengine kutokea ambayo yalikwamisha yeye kukutana na Joh Makini.
Chid Benz Chuma amezungumza hayo kwenye kipindi cha Bongofleva Top 20 leo na kusema siku zote alikuwa na mipago ya kufanya kazi na msanii huyo kutoka kundi la Weusi na hata walipokutana kwenye kazi walikubaliana wakirudi Dar es salaam wafanye kazi.ie kazi”.
Share.

About Author