Home News BABA AMTUPA MTOTO TOKA JUU YA NYUMBA ILA ASKARI WAKAMUWAHI MTOTO NA...

BABA AMTUPA MTOTO TOKA JUU YA NYUMBA ILA ASKARI WAKAMUWAHI MTOTO NA KUMDAKA

179
0

South Africa..Baba na Mama wagombea mtoto..Baba kaamua kumtupa mtoto toka juu ya nyumba baada ya Police kusema mtoto abaki na mamake..ila mungu mkubwa malaika wa mtoto wakamdaka..
Jamaa ana shitakiwa kwa kutaka kujaribu kuuwa mtoto wake. Baba anaroho mbaya huyu