Breaking Newz....Tetesi Rais wa TFF Jamali Malinzi akamatwa na Takukuru,kupandishwa mahakamani leo - The Choice

Breaking Newz….Tetesi Rais wa TFF Jamali Malinzi akamatwa na Takukuru,kupandishwa mahakamani leo

0

IMG_20170628_081926

Breaking Newz….kuna tetesi Rais wa TFF Jamali Malinzi kukamatwa na Takukuru,inasemekana kupandishwa mahakamani leo,inasemekana amekwamatwa kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi,inasemekana kakamatwa yeye pamoja na katibu mkuu wake mwesigwa.

Bado tunafwatilia taarifa hii zaidi kwa kina

Share.

About Author