BREAKING NEWZ SEMI FINAL DRAW IMEPANGWA REAL USO KWAUSO NA ATLETICO - The Choice

BREAKING NEWZ SEMI FINAL DRAW IMEPANGWA REAL USO KWAUSO NA ATLETICO

0

Droo ya Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa imekamilika na Real Madrid atakutana na Atletico Madrid katika mechi ya kwanza ya hatua hiyo.

Nusu fainali ya pili, itakuwa ni AS Monaco dhidi ya Juventus mechi ya kwanza ikipigwa nchini Ufaransa.

MECHI ZA KWANZA:

Real Madrid Vs Atletico Madrid

AS Monaco Vs Juventus.

Facebook Comments
Share.

About Author